RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI MDOGO WA OMAN ANAYEFANYIKA KAZI ZAKE ZANZIBAR - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 13, 2021

RAIS WA ZANZIBAR DK.HUSSEIN AMEKUTANA NA KUZUNGUMZA NA BALOZI MDOGO WA OMAN ANAYEFANYIKA KAZI ZAKE ZANZIBAR

 

 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe.Said Salim Al Sinawi, alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha rasmin leo 13-7-2021.(Picha na Ikulu) 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza mgeni wake Balozi Mdogo wa Oman anayefanyika Kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al Sinawi, alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo na kujitambulisha mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad