Dk.HUSSEIN ALI MWINYI ASHIRIKI SALA YA IJUMAA MASJID MUSHAWAL - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 2, 2021

Dk.HUSSEIN ALI MWINYI ASHIRIKI SALA YA IJUMAA MASJID MUSHAWAL

 


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) pamoja na waumini mbali mbali na wananchi wakiitikia Dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi (wa tatu kulia) baada ya  Sala ya Maiti ya Marehemu Mke wa Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Dk.Aboud Suleiman Jumbe katika Masjid Mushawal Mwembeshauri Jijini Zanzibar baada ya Sala ya Ijumaa na maziko kufanyika leo katika makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 02/07/2021.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa tatu kulia) akishiriki katika Sala ya Maiti ya Marehemu  Mke wa Katibu Mkuu Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Dk.Aboud Suleiman Jumbe katika Masjid Mushawal Mwembe shauri Jijini Zanzibar baada ya Sala ya Ijumaa na maziko kufanyika leo katika makaburi ya Mwanakwerekwe Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magharibi.[Picha na Ikulu] 02/07/2021.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad