HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 8, 2021

WEKA KETE KWENYE NAMBA ZAKO ZA BAHATI KWENYE SLOTI EUROPEAN ROULETTE YA KASINO YA MTANDAONI YA MERIDIANBET

 

*Chagua kete zako, subiri gurudumu likupe ushindi na European Roulette

Sloti ya European Roulette

Ukiwa unaelekea mwisho wa wiki yako, pitia duka la Meridianbet ili uweze kujiweka kwenye nafasi ya kutengeneza mkwanja mrefu. Sloti ya European Roulette iliyopo kwenye Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet, inaweza kukupa ushindi mkubwa.


European Roulette ni moja wa michezo rahisi na inayopendwa na wachezaji wengi wa michezo ya kasino, mchezo huu umetengenezwa na Habanero. Meridianbet imekusogezea sloti hii ili kukuletea ushindi mkubwa. Mchezo huu una gurudumu la Roulette lenye namba, mpira na meza yenye namba za kuchagua.  Chagua namba moja au kadhaa ambazo unahisi mpira utasimama, acha gurudumu lizunguke likuletee ushindi wa kibingwa! 


Namna ya Kucheza Sloti ya European Roulett

Ukiingia kwenye Kasino ya Mtandaoni ya Meridianbet, chagua European Roulette. Hapo utakutana na gurudumu la Roulette linalozunguka, meza yenye namba 36.  Weka kete zako kwa kuchagua namba unazohisi mpira wa gurudumu utafikia, kisha weka dau lako. Unaweza kuchagua namba zote kulingana na dau lako. Katika gurudumu la namba za Roulette, utaona rangi nyekundu na nyeusi yenye namba tofauti tofauti, isipokuwa namba 0 tu ambayo ina rangi ya kijani. 


Baada ya kuona umechagua kete zako vizuri, bonyeza kitufe cha "play" kisha subiri mshindo wa kibingwa. Baada ya ushindi, unaweza kurudia mzunguko kwa kubonyeza "Rebet". 


Usidanganyike! European Roulette kutoka Meridianbet inaweza kurudishia mpaka 98.65% ya dau lako! Ukichagua kete zako za bahati basi kwa hakika utapata ushindi mnono sana!


Jiunge sasa na Meridianbet na ufaidi odds, bonasi na promosheni kabambe!

1 comment:

Post Bottom Ad