Spika wa Bunge, Job Ndugai (kushoto) akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP. Salum Hamduni (katikati) pamoja na Naibu Mkurugenzi wa TAKUKURU, Neema Mwakalyeye walipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 2, 2021Spika wa Bunge, Job Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP. Salum Hamduni (kulia) pamoja na Naibu Mkurugenzi wa TAKUKURU, Neema Mwakalyeye walipomtembelea Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 2, 2021
Spika wa Bunge, Job
Ndugai (katikati) katika picha ya pamoja na ugeni kutoka TAKUKURU wakiongozwa na
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, CP. Salum Hamduni (watatu kulia) walipomtembelea
Ofisini kwake Bungeni Jijini Dodoma, Juni 2, 2021, Watatu kushoto ni Naibu
Mkurugenzi wa TAKUKURU, Neema Mwakalyeye
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments:
Post a Comment