Mkuu
wa Mkoa wa Singida Dkt.Binilith Mahenge akionesha cheti
kilichorasimishwa kutumika kwa shughuli za chama hicho baada ya mchakato
wa usajili kukamilika.
Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt.Binilith Mahenge, akimkabidhi cheti hicho Mwenyekiti wa ASA-TIA Singida Hamza Ramadhan.
Mkuu
wa Mkoa wa Singida Dkt.Binilith Mahenge (kulia) akipokea taarifa fupi
kutoka kwa Meneja wa Taasisi ya Uhasibu nchini (TIA) Kampasi ya
Singida, Dkt.James Mrema wakati alipofika kuzindua Chama cha Umoja wa
Wanafunzi wa Fani ya Uhasibu (ASA)-TIA Kampasi ya Singida jana.
Mkuu
wa Mkoa wa Singida Dkt.Binilith Mahenge ambaye alikuwa mgeni rasmi
kwenye hafla hiyo akisaini kitabu cha wageni kwa mara ya kwanza baada ya
kufika katika taasisi hiyo.
Wimbo wa Taifa ukiimbwa.
Wimbo wa Taifa ukiimbwa.
Wimbo wa Taifa ukiimbwa.
Meneja
wa Taasisi ya Uhasibu nchini (TIA) Kampasi ya Singida, Dkt.James
Mrema, akizungumza wakati akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Singida
Dkt.Binilith Mahenge kuzungumza na wanachama wa ASA na kuzindua chama
hicho.
Mkuu
wa Mkoa wa Singida Dkt.Binilith Mahenge akizuzungumza na wanachama wa
ASA Kampasi ya Singida kwenye sherehe za uzinduzi huo.
Wageni waalikwa na viongozi mbalimbali wakiwa kwenye hafla hiyo.
Wanachama wa ASA wakiwa kwenye hafla hiyo.
Hafla ikiendelea.
Hafla ikiendelea.
Hafla ikiendelea.
Wanachama wa ASA na watumishi wa Taasisi hiyo wakiserebuka Kwaito.
Wanachama wa ASA na watumishi wa Taasisi hiyo wakiserebuka Kwaito.
Mserebuko ukiwa umekolea.
Hafla ikiendelea.
Watumishi wa Taasisi hiyo wakiwa kwenye hafla hiyo.
Katibu Mkuu Chama cha Wahasibu Tanzania (TAA) CPA. Samson Mwigamba akitoa mada kwenye uzinduzi huo.
Meneja
wa Benki ya NMB Tawi la Singida, Willy Mponzi akitoa mada kwenye
uzinduzi huo. Kulia ni Afisa wa Benki hiyo, Happy Mtafurwa.
Mtoa Mada Saimon Solomoni Mhasibu kutoka Bodi ya Uhasibu Tanzania (NBAA) akitoa mada.
Mtoa Mada Humphrey Simpholian kutoka Idara ya Elimu Bodi ya Uhasibu Tanzania (NBAA) akitoa mada.
Mtoa Mada Amani Mnyambi kutoka Benki ya CRDB, akitoa mada kwenye uzinduzi huo.
Meneja Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Mkoa wa Singida, Dkt.Mohammed Kilolile, akitoa mada kwenye uzinduzi huo.
Mwanachama wa ASA, Nyamizi John akiuliza swali kwenye uzinduzi huo.
Mhadhiri
Msaidi wa Taasisi hiyo Kampasi ya Singida, CPA Margareth Emmanuel,
akiwashukuru wadau wote waliofanikisha uzinduzi huo.
Meneja
wa Taasisi ya Uhasibu nchini (TIA) Kampasi ya Singida, Dkt.James Mrema
(kushoto) na Watumishi wa Taasisi hiyo wakisakata rhumba kwenye hafla
hiyo.
Rais
wa Serikali ya Wanafunzi (TIASO) Kampasi ya Singida, Dauda H. Dauda
(kushoto) na Mratibu wa ASA, Sam Mushi wakiwa kwenye uzinduzi huo.
Hafla ikiendelea.
Mkuu
wa Mkoa wa Singida Dkt.Binilith Mahenge ambaye alikuwa mgeni rasmi
kwenye hafla hiyo akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa ASA na
Watumishi wa TIA Kampasi ya Singida.
Meneja wa Taasisi ya Uhasibu nchini (TIA) Kampasi ya Singida,
Dkt.James Mrema (waliokaa katikati)na Wageni waalikwa, Viongozi wa ASA
na Watumishi wa TIA Kampasi hiyo wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya
uzinduzi huo.
Monday, June 21, 2021
RC SINGIDA AZINDUA CHAMA CHA WANAFUNZI WA FANI YA UHASIBU (ASA)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment