Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwatambulisha Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, Viongozi wa Taasisi mbalimbali, Viongozi wa Kidini, viongozi wa vyama vya siasa kwa mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi Ikulu Jijini Dar es Salaam mara baada ya Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia mgeni wake. PICHA NA IKULU
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akizungumza na viongozi mbalimbali wa ndani na nje ya nchi wakati wa
Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Botswana
Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi tarehe 10 Juni 2021 Ikulu
Jijini Dar es Salaam.
Rais
wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi
akizungumza na viongozi mbalimbali katika Dhifa ya Kitaifa aliyoandaliwa
na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu
Hassan Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwatambulisha Marais Wastaafu, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi, pamoja na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwa mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi Ikulu Jijini Dar es Salaam wakati wa Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia mgeni wake.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwatambulisha Mabalozi mbalimbali wanaoziwakilisha nchi zao hapa nchini, Viongozi wa Taasisi mbalimbali, Viongozi wa Kidini, viongozi wa vyama vya siasa kwa mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Botswana Dkt. Mokgweetsi Eric Keabetswe Masisi Ikulu Jijini Dar es Salaam mara baada ya Dhifa ya Kitaifa aliyomuandalia mgeni wake. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment