*Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!
BAADA ya kuahirishwa kwa mwaka mmoja kutokana na Covid-19, sasa ni rasmi michuano hiyo kuanza wikiendi hii. Nchi Zaidi ya 24 katika miji 11 kushuhudia wachezaji mbalimbali wakubwa kwa wadogo wakipambana kuhakikisha wanabeba kombe hilo kubwa mwaka huu! Ingia Meridianbet na ubashiri sasa!
ijumaa hii, kutakuwa na mechi ya ufunguzi ya michuano ya EURO 2020, Timu ya Italy itawaalika Turkey pale Olympico stadium, Rome. Mara ya mwisho timu hizo kukutana kwenye Euro ilikuwa ni mwaka 2000 na Italy walishinda 2-0. Meridianbet imekuwekea Odds ya 1.63 kwa Italy. Je, nani kuibuka na ushindi katika mechi hii?
Siku ya Jumamosi, Timu ya Wales chini ya Gareth Bale watakuwa wenyeji wa Switzerland kule Baku Olympic Stadium. Meridianbet imekuwekea Odds ya 2.30 kwa Switzerland kwa ajili yako.
Siku hiyo hiyo ya Jumamosi, Belgium wakiwa wanaogozwa na Lukaku watawakaribisha Russia katika michuano hiyo ya Euro 2020. Kwa kutambua ukubwa wa Belgium, Meridianbet imekuwekea Odds ya 1.80 kwa Belgium ili kukupa ushindi wewe.
Jumapili nako hakupoiii, England watarusha karata yao dhidi ya mashujaa wanyonge wa Croatia kule Wembley Stadium. England imejaa mastaa wakubwa na Meridianbet imeweka Odds ya 1.80 kwao.
Kule katika uwanja wa Amsterdam Arena, Timu ya Netherlands watawaalika Ukraine. Meridianbet imekuwekea Odds ya 1.72 kwa Netherlands ili uwe bingwa na wewe.
Siku ya Jumatatu pia kuna moto, Poland watakuwa wenyeji wa Slovakia kule Krestovsky Stadium. Meridianbet imekuwekea Odds ya 1.90 kwa Poland katika mechi hiyo.
Ni rahisi sana kuwa bingwa wikiendi hii, cha kufanya nikuchangamkia fursa tu. Piga *149*10# kujiunga au tembelea www.meridianbet.co.tz na ujiunge na familia ya mabingwa!
Burudani kamili imerejea ni wakati wa kupiga pesa na Meridianbet.
ReplyDeleteEuro mambo mazuri
ReplyDeleteKimewaka
ReplyDelete