*Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!
BAADA ya kukuru kakara za hapa na pale kwenye mzunguko wa kwanza, Euro 2020 kuendelea wikiendi hii ikiwa ni mzunguko wa pili. Italia, Uholanzi na Ubelgiji wameshafuzu hatua ya 16 bora. Timu zipi zitaungana nao?
Ijumaa hii, Sweden atakutana na Slovakia, mchezo wa kwanza Sweden walitoka sare na Hispania huku Slovakia akimshindilia kipigo Poland. Ushindi ndio kitu cha msingi kwa timu zote mbili. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.95 kwa Sweden.
Uingereza atakua pale Wembley kuchuana na Scotland, hii inaitwa “All British Fight”. Hizi timu ni ndugu kiutawala na geografia lakini kwenye mashindano ni mahasimu. Pointi 3 muhimu zinaweza kubadilisha muonekano wa Kundi D. Zifuate Odds ya 1.34 kwa Uingereza kwenye mchezo huu.
Jumamosi, macho na masikio ya mashabiki wa Soka yatakuwa pale kwenye Kundi F, ni Ureno vs Ujerumani. Machungu ya Ujerumani kupoteza mchezo wa kwanza, yalipeleka furaha kwa Ureno aliyeshinda mchezo wa kwanza, dakika 90 zitaamua nani afurahie au ahuzunike? Meridianbet tumekupatia Odds ya 2.45 kwa Ujerumani.
Jumapili mchongo utakua kwenye Kundi A. Switzerland vs Uturuki, timu hizi zinashika nafasi ya 3 na 4 kwenye msimamo wa kundi lao. Kuhakikisha nafasi ya kusonga mbele, ushindi ndio kitu pekee kinachohitajika kwa timu zote mbili. Meridianbet tumekusogezea Odds ya 1.80 kwa Switzerland.
Jumatatu tunauanza mzungo wa 3 kwa mtanange wa Russia vs Denmark. Kimahesabu, Denmark wameshayaaga mashindano baada ya kupoteza michezo 2 ya mwanzo kwenye hatua ya makundi. Lakini hawajaondoka kinyonge, bado wanaweza kufanya kitu kwenye mchezo wa 3. Odds ya 1.95 kwa Denmark inaweza kukupa faida kupitia Meridianbet.
Hakika, ukiwa na Meridianbet – huna sababu ya kuwaza sana kuhusu ushindi. Karibu kwenye familia ya Mabingwa!
Hatare
ReplyDelete