EURO 2020 HAINA MWENYEWE, MAMBO MAZITO! - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, June 29, 2021

EURO 2020 HAINA MWENYEWE, MAMBO MAZITO!

 

*Meridianbet Tunakuhakikishia Faida Kwa Kila Dau


HATUA ya 16 bora kunako muendelezo wa Euro 2020, imetoa matokeo ya kusisimua na kushangaza kwa baadhi ya timu. Meridianbet, kila dau unaloweka linaweza kukupa faida kubwa! Tembelea duka lolote la Meridianbet lililokaribu nawe, kutandaza mkeka wako wiki hii. Mchongo upo hivi;


Uingereza kuwaalika Ujerumani katika dimba la Wembley Jumanne usiku. Uingereza anaingia kwenye mchezo akitoka kuwa kinara wa kundi D huku Ujerumani akijitutumua na kumaliza kwenye nafasi ya 2 kwenye kundi F nyuma ya Ufaransa na mbele ya Ureno na Hungary


Mchezo wa Uingereza vs Ujerumani, ni miongoni mwa michezo yenye upinzani na historia nyingi. Uingereza atakumbuka machungu ya kupoteza mchezo kwa matuta wakati huo kocha wa sasa, Gareth Southgate alikuwa anaitumikia timu hiyo. Yote 9, 10 ni kwamba – Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.70 kwa Uingereza kwenye mchezo huu.


Kule Norway mambo yamepamba moto. Rosenborg kuvaana na Haugesund katika muendelezo wa ligi soka nchini humo. Unaweza kuifata Odds ya 1.70 kwa Rosenborg kwenye mchezo huu ukiwa na Meridianbet.


Valerenga uso kwa uso dhidi ya Sarpsborg 08. Mambo ni moto kwenye Ligi Kuu ya Norway. Meridianbet hatukuachi nyuma, tumekuwekea Odds ya 1.60 kwa Valerenga kwenye mchezo huu.


Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad