HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, May 7, 2021

MSIMU WA 2020/21 UNAYOYOMA TARATIBU!

 

*Jiunge na Familia ya Meridianbet, Uwe Miongoni mwa Mabingwa.

BAADA ya kuzijua mbivu na mbichi za Ligi ya Mabingwa, ligi zingine kuendelea na michezo yake wikiendi hii. Nani anashuka/kupanda daraja na nani anaibuka kidedea? Zote ni fursa wikiendi hii;


Ijumaa kuanza kwa mchezo wa EPL. Leicester City kuwaalika Newcastle United pale King Power Stadium. The Foxes wakiangalia chini yao kuna Chelsea anakuja kwa kasi, hii nafasi kwao kujiimarisha kwenye nafasi ya 3 kunako msimamo wa EPL, wataweza? Ifuate Odds ya 1.44 kupitia Meridianbet.


Kule Ufaransa kunako Ligue1, Lens watachuana na Lille. Huu ni mchezo ambao pengine utaendeleza tumaini la Lille kubeba ubingwa mbele ya PSG na pia kwa Lens, hii ni nafasi yao ya kuinyatia nafasi ya 4 msimu huu. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.96 kwa Lille.


Jumamosi ndio usipime! EPL kuwashuhudia Man City vs Chelsea kabla ya timu hizi kuchuana kwenye fainali ya Ligi ya Mabingwa, Mei 29. Huu ni mchezo ambao City ataweza kutangaza ubingwa wa msimu huu au Chelsea kujihakikishia nafasi ya 4 kunako msimamo wa EPL, kwani Odds za Meridianbet zinasemaje? Ifuate Odds ya 1.90 kwa City ukiwa na Meridianbet.


Msimu wa 2020/21 unajambo lake. LaLiga kushuhudia mtanange wa Barcelona vs Atletico Madrid. Bado mbio za ubingwa ni kali na timu hizi zinatofauti ya alama 2 katika nafasi ya 1 na 3. Ushindi kwa timu yeyote utamuweka kileleni, Je ni Barca au Atletico? Odds ya 1.83 kwa Barcelona inaweza kukutoa kimasomaso wikiendi hii.


Jumapili, Real Madrid watavaana na Sevilla. LaLiga haipoi, haiboi! Tofauti ya pointi 4 kati ya vilabu hivi huku ikiwa ni tofauti ya pointi 2 kati ya majirani wa jiji la Madrid. Ukisia adui mwombee njaa ndio kinachotokea wikiendi hii. Barca, Atletico na Real Madrid, atakayeshinda anataongoza msimamo wa LaLiga, Odds ya 2.00 inakusubiri kwenye Meridianbet.


Ukiwa na Meridianbet, hunasababu ya kuanza wiki yako kwa mashaka. Jumatatu tumekuwekea Odds bora kwenye mchezo wa Arsenal vs West Brom Albion. Unaweza kuifuata Odds ya 1.47 kwa Arsenal jumatatu hii.


Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

3 comments:

Post Bottom Ad