Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, akizungumza na maafisa
na askari (hawapo Pichani) wa Mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni katika kikao kazi maalum
leo tarehe 26/05/2021 ambapo amewaagiza kusimamia sheria za nchi ipasavyo na
kuendelea kuwachukulia hatua kali wale wanaojihusisha na vitendo vya kihalifu. Picha na Jeshi la Polisi.
No comments:
Post a Comment