RAIS SAMIA AKARIBISHWA NA MWENYEJI WAKE RAIS MUSEVENI WA UGANDA IKULU YA ENTEBBE ALIPOWASILI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, 11 April 2021

RAIS SAMIA AKARIBISHWA NA MWENYEJI WAKE RAIS MUSEVENI WA UGANDA IKULU YA ENTEBBE ALIPOWASILI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipowasili katika Ikulu ya Entebbe leo Jumapili Aprili 11, 2021. PICHA NA IKULU. 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akikaribishwa na  mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipowasili katika Ikulu ya Entebbe leo Jumapili Aprili 11, 2021

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akitambulishwa kwa viongozi mbalimbali na mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipowasili katika Ikulu ya Entebbe leo Jumapili Aprili 11, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akitambulisha Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula kwa mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipowasili katika Ikulu ya Entebbe leo Jumapili Aprili 11, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akitambulisha ujumbe wa Tanzania alioongozana nao kwa mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipowasili katika Ikulu ya Entebbe leo Jumapili Aprili 11, 2021
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akitambulisha Mkurugenzi Mkuu wa TPDC Dkt Mataragio kwa mwenyeji wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda alipowasili katika Ikulu ya Entebbe leo Jumapili Aprili 11, 2021

 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad