Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan
akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi
ambaye alifika kumsalimia Rais Samia Nyumbani kwake jijini Dar es Salaam
leo tarehe 12 Aprili, 2021
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa
katika mazungumzo na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan
Mwinyi ambaye alifika kumsalimia Rais Samia Nyumbani kwake jijini Dar es
Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2021
Rais
Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi akizungumza na
Wanahabari mara baada ya mazungumzo yake na Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan nyumbani kwake jijini Dar es
Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2021. PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment