MAKAMU WA RAIS PHILIP MPANGO AKABIDHI VYAKULA KWA WATOTO YATIMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 12 April 2021

MAKAMU WA RAIS PHILIP MPANGO AKABIDHI VYAKULA KWA WATOTO YATIMA

 

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Vifaa mbalimbali  ikiwemo Mchele, Sukari, Mafuta Unga wa Ngano, Sabuni, pamoja na Vinywaji Baridi kwa ajili ya maandalizi ya Ufungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani Unaotarajiwa kuanza hivi karibuni, katika Kituo cha kulelea Watoto Yatima cha Rahman Orphanege Centre Chang'ombe Jijini Dodoma leo April 12,2021, pamoja na Milango na Madirisha kwa ajili ya kumalizia Ujenzi wa Jengo la Madrasa ya Kituo hicho.No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad