RAIS DK.MWINYI AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA WAWEKEZAJI SEKTA YA UTALII ZANZIBAR - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, March 12, 2021

RAIS DK.MWINYI AZUNGUMZA NA WAFANYABIASHARA WAWEKEZAJI SEKTA YA UTALII ZANZIBAR

 

 

   

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wawekezaji wa Sekta ya Utalii Zanzibar (ZATI ) ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake kuzungumza na Wafanyabiashara wa Sekta mbalimbali Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.

WAZIRI wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Lela Mohammed Mussa, akizungumza wakati wa mkutano na Wawekezaji wa Sekta ya Utalii Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar ikiwa ni muendelezo wa mikutano ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuzungumza na Wafanyabiashara wa Sekta mbalimbali Zanzibar na (kushoto kwake) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Kazi Uchumi na Uwekezaji Zanzibar Mhe. Mudrik Ramadhan Soraga.

WAKUU wa Idara mbalimbali za Serikali wakifuatilia mkutano huo wa Wawekezaji wa Sekta ya Utalii Zanzibar (ZATI) ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake na Wafanyabiashara wa Sekta mbalimbali Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(

KATIBU Mkuu Wizara ya Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Bi. Fatma Mabrouk Khamis akizungumza na kutoa maelezo  ya maswali yalioulizwa wakati wa mkutano huo wa Wadau wa Sekta ya Utalii Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ikiwa ni muendelezo wa mikutano ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuzungumza na Wafanyabiashara wa Sekta mbalimbali.

MKURUGENZI wa Uwezeshaji na Maendeleo ya Uwekezaji Zanzibar (ZIPA) Bw. Shariff Ali Shariff, akizungumza na kutowa maelezo wakati wa mkutano na Sekta ya Wawekezaji wa Utalii Zanzibar uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar ikiwa ni muendelezo wa mikutano ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) kuzungumza na Wafanyabiashara wa Sekta mbalimbali Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mwenyekiti wa Bodi ya ZATI Bw. Seif Masoud Miskry akizungumza wakati wa mkutano huo wa Wawekezaji wa Sekta ya Utalii Zanzibar, uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar, ikiwa ni muendelezo wa mikutano yake kuzungumza na Wafanyabisahara wa Sekta mbalimbali.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad