HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, March 8, 2021

MAKAMU WA RAIS. MAADHIMISHO SIKU YA WANAWAKE DUNIA


 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa kwenye  Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoazimishwa leo March 08,2021 katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam, ambapo Ujumbe wa Mwaka huu ni Wanawake katika Uongozi, Chachu kufikia Dunia yenye Usawa. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akihutubia Taifa kwenye  Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoazimishwa leo March 08,2021 katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam, ambapo Ujumbe wa Mwaka huu ni Wanawake katika Uongozi, Chachu kufikia Dunia yenye Usawa.


 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea Tuzo kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Wasafi Abdul Nasibu Dimond kwa kutambua Mchango wake wa Hali na Mali kuchangia Shughuli mbalimbali za Maendeleo ya Wanawake na Jamii kwa Ujumla wakati wa   Maadhimisho ya Siku ya Wanawake Duniani yaliyoazimishwa leo March 08,2021 katika Ukumbi wa Mlimani City Jijini Dar es salaam, ambapo Ujumbe wa Mwaka huu ni Wanawake katika Uongozi, Chachu kufikia Dunia yenye Usawa. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad