CHEZA SLOTI MPYA INAYOPATIKANA KWENYE KASINO YA MERIDIANBET PEKEE - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, 11 March 2021

CHEZA SLOTI MPYA INAYOPATIKANA KWENYE KASINO YA MERIDIANBET PEKEE

 
Wakusanye Farasi Wako na Ushiriki Bonanza Kupitia Sloti Mpya ya Bounty Hunters kutoka Expanse Studios


Studios Bounty Hunters – Bonanza la kuvutia kutoka Expanse Studios

Matumizi ya mfumo wa mwituni ni miongoni mwa vitu vinavyovutia kwa watengenezaji was loti. Studio mpya iliyojiunga kwenye mfumo huo ni watengenezaji wa Maltese, Expanse Studios. Sloti mpya ya Bounty Hunters ni uhalisia wa bonanza maridhawa ambalo unaweza kushiki bure au kwa pesa hali kupiti Kasino ya Meridianbet pekee.

Sloti hii yenye mfumo wa kuwasha bunduki inasifa ya kuwa na reels zilizo na wazungushaji, watawanya mafuvu na wanyama mwitu wenye mabegi ya dhahabu. Ni sloti inayoweza kurudisha faida ya hadi 96.31% kwa mteja ikiwa ni pamoja na malipo ya aina 40. Patia alama sahihi na unaweza kushinda pipa la dhahabu kwenye mizunguko ya bure.

Upo tayari kuanza mbio? Ingia kwenye Kasino ya Meridianbet sasa na ucheze kwa pesa halisi ili kushinda zawadi za pesa.

Stori Ya Mwitu wa Magharibi

Kuanzia kwenye muonekano mpaka kwenye mfumo wa sauti, utakiri hii ni sloti ya kimagharibi kwa kiasi kikubwa. Expanse wamefanya kazi kubwa kwenye muonekano, muonekano ang’avu na alama zilizobuniwa kwa ubora. Alama zimewekwa ndani ya reel ya mbao zikipishana na saluni. Kama ilivyoelezwa awali, wahalifu huchukua reels kadhaa pamoja na baadhi ya alama maalumu ambazo zinasifa ya sloti.

Kucheza Sloti ya Bounty Hunters ni rahisi. Mfumo mwitu wa magharibi unakuhitaji kuweka ubashiri wako kwanza. Kiwango cha chini zaidi ni 0.1 kwa kila mstari na cha juu ni 1,200. Weka kiwango unachohitaji na kisha zungusha reels ili kuanza safari. Vitufe vyote vipo katika sehemu zake za kawaida. Unaweza kubofya spin ili kuanza mchezo au kutumia Autoplay ili kuzungusha reels mara kadhaa (mpaka mara 250).

Utakuwa unajitahidi kumkamata muhalifu wa dhahabu ili upate sarafu 100 kwa 5 kwenye mstari. Mwanamke analipa 80 kwa mchanganyiko kama huo, kama ilivyo kwa mwanaume aliyevaa bandana. Mchezo wa awali umenyooka zaidi. Alama zenye thamani kubwa zinaonekana zimebanwa na zinamalipo makubwa. Mwitu unaweza kukupa mchanganyiko wa ushindi mkubwa na unalipa zaidi, sarafu 150 kwa 5 kwenye mstari.

Pia kuna joka mwitu, lakini hili linatokea kwenye mzunguko wa bonasi pekee. Kimsingi, pia kuna mtawanyiko, kwenye hili, bonasi ya alama ya fuvu inalipa zaidi ukipatia mara 3 na ukicheza mizunguko ya bure.

The Bonus Kit and Caboodle Mfumo wa Bonasi

Mtawanyiko wa mafuvu matatu utakupatia malipo ya papo hapo na unakuongezea mizunguko 6 ya bure wakati huohuo. Itatokea kwenye reel ya 1, 3 na 5 mara kwa mara ili uweze kuingia kwenye mzunguko wa bonasi. Mchezo wa bure unachezwa kama ilivyo kwenye mchezo wa awali ikiwa na tofauti ndogo kwenye uwashaji wa bunduki.

Kabla ya mzunguko kuanza, kati ya reel ya 1 na 5 kutakuwa na jokeri walionata. Hii ndio sifa kuu kwenye mchezo wa bonasi. Sifa hii itabaki kwenye reels kwa muda wote wa mzunguko wa bonasi na inaweza kuchukua nafasi ya alama zote ili kutengeneza mchanganyiko wa ushindi isipokuwa kwa mtawanyiko.

Inaweza pia kutokea nyuma ya mwitu wa kawaida kwenye sehemu yeyote ya reel. Kama mtawanyiko utatokea juu ya mwitu aliyenata, itapelekea ushindi uliotawanywa na utakupatia mizunguko 6 ya ziada kama bonasi. Bila ya kuangalia idadi ya mizunguko ya bure unayoweza kushinda, mzunguko wa bonasi unaweza kuwa na malipo makubwa zaidi.

Hii yote inaifanya sloti ya Bounty Hunters kuwa na thamani ya safari ya Kimagharibi. Ingia kwenye Kasino ya Meridianbet na ukusanye farasi wako sasa – hii itakuwa ni mbio ya kukumbukwa.

Kupitia Kasino ya Meridianbet, tengeneza faida ukiwa unafurahia sloti mpya ya Bounty Hunters. Ndio, unaweza kupata hadi 96.31% kama sehemu ya faida anayoipata mteja kwenye mchezo huu. Bofya hapa https://mrdn.co/bountyhunters kuingia mchezoni sasa! #bashirinamabingwa #kasino #bountyhunters. 

 

3 comments:

Post Bottom Ad