Benki ya NMB Yakabidhiwa Cheti kwa Kudhamini Kongamano la Ugavi na Ununuzi Arusha - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, 2 December 2020

Benki ya NMB Yakabidhiwa Cheti kwa Kudhamini Kongamano la Ugavi na Ununuzi Arusha

 

 

Waziri Mkuu,Kassim Majaliwa akimkabidhi cheti, Kaimu Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya NMB – Benedicto Baragomwa(kushoto) kutambua mchango wa Benki hiyo kudhamini Kongamano la 11 la Wataalamu wa Manunuzi na Ugavi(PSPTB) linalofanyika jijini Arusha,wa pili kulia ni Waziri wa Fedha na Mipango, Dk. Philip Mpango na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro – Anna Mghwira.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad