WAZIRI MKUU MSTAAFU, KASSIM MAJALIWA AAPA KUWA MBUNGE WA RUANGWA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 10, 2020

WAZIRI MKUU MSTAAFU, KASSIM MAJALIWA AAPA KUWA MBUNGE WA RUANGWA

Waziri Mkuu Mstaafu, na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa akipokea Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Kanuni za Kudumu za Bunge kutoka kwa Katibu wa Bunge Stephen Kagaigai wakati alipoapa Bungeni Jijini Dodoma, Novemba 10, 2020
Waziri Mkuu Mstaafu, na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa akiapa kuwa mbunge wa Ruangwa, Bungeni Jijini Dodoma Novemba 10, 2020
Waziri Mkuu Mstaafu, na Mbunge wa Jimbo la Ruangwa Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Iramba Magharibi Dkt. Mwigulu Nchemba, Bungeni Jijini Dodoma Novemba 10, 2020.
Baadhi ya wabunge wakiwa bungeni.
Baadhi ya wageni bungeni leo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad