HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, November 11, 2020

RAIS HUSSEIN ALI MWINYI AKUTANA NA TUME YA UCHAGUZI ZANZIBAR

 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akizungumza na Viongozi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) alipokutana nao leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa kazi ya kufanikisha vyema Uchaguzi Mkuu uliopita hivi karibuni.[Picha na Ikulu]. 10/11/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akimsikiliza Mkuu wa Brigedi ya Nyuki Zanzibar Fadhil Omar Nondo (aliyesimama) alipokuwa akitoa neno la kumshukuru mbele ya Rais mara baada ya Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama walipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo kwa ajili ya kupongezwa kwa kufanikisha kusimamia vyema kwa Zoezi la Uchaguzi Mkuu uliopita hivi karibuni.[Picha na Ikulu].10/11/2020. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akiagana na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Mhe.Jaji Mkuu Mstaafu Hamid Mahmoud Hamid baada ya mazungumzo na kuishukuru na kuipongeza Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa kufanikisha vyema Uchaguzi Mkuu uliopita .[Picha na Ikulu]. 10/11/2020. 
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) alipokutana nao leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa kazi ya kufanikisha vyema Uchaguzi Mkuu uliopita hivi karibuni.[Picha na Ikulu]. 10/11/2020.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Viongozi Wakuu wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama leo Ikulu Jijini Zanzibar kwa ajili ya kuwashukuru na kuwapongeza kwa kufanikisha kusimamia vyema kwa Zoezi la Uchaguzi Mkuu uliopita hivi karibuni.
[Picha na Ikulu].10/11/2020.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad