HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 14, 2020

Wizara ya Maji yafanya mapitio ya Mwongozo Uendeshaji wa Mamlaka na Usafi wa Mazingira kuboresh autoaji huduma kwa wananchi

 

 

 Mkurugenzi Msaidizi wa Utoaji Huduma, Wizara ya Maji Mhandisi Lydia Joseph akiwasilisha mada wakati wa kikao kazi cha Wizara hiyo kuhusu mapitio ya Mwongozo wa Uendeshaji wa Mamlaka na Usafi wa Mazingira kilichofanyika mjini Morogoro leo.

Mwanasheria wa Wizara ya Maji, Simon Nkanyemka akichangia mada wakati wa kikao kazi cha Wizara hiyo kuhusu mapitio ya Mwongozo wa Uendeshaji wa Mamlaka na Usafi wa Mazingira kilichofanyika mjini Morogoro leo.

Mwanasheria wa Wizara ya Maji, Simon Nkanyemka (aliyesimama) akichangia mada wakati wa kikao kazi cha Wizara hiyo kuhusu mapitio ya Mwongozo wa Uendeshaji wa Mamlaka na Usafi wa Mazingira kilichofanyika mjini Morogoro leo.

Baadhi ya washiriki wakifuatilia mada wakati wa kikao kazi cha Wizara ya Maji cha mapitio ya Mwongozo wa Uendeshaji wa Mamlaka na Usafi wa Mazingira kilichofanyika mjini Morogoro leo.

(Picha na Happiness Shayo-Morogoro) 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad