HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 14, 2020

MHE.SAMIA SULUHU AHUTUBIA WANANCHI WA MBOZI SONGWE

 

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Kitabu cha Ilani ya Utekelezaji wa Uchaguzi ya CCM 2020/25 kwa Mbunge mteule wa Jimbo la Mbozi Mhe. Geporge Ranwell Mwenisongole kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM, katika mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo Octoba 13,2020 katika Viwanja vya Vwawa Mbozi Mkoani Songwe. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Watoto Catherine Enoc (10) na Gerald Mwaliwa (11) wakazi wa Vwawa Mbozi alipokutana nao baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Vwawa Mbozi Mkoani Songwe leo Oktoba 13,2020.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad