RAIS DKT MAGUFULI APOKEA GAWIO TOKA KAMPUNI YA MADINI YA TWIGA NA SHIRIKA LA MADINI LA STAMICO JIJINI DAR ES SALAAM LEO - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, October 14, 2020

RAIS DKT MAGUFULI APOKEA GAWIO TOKA KAMPUNI YA MADINI YA TWIGA NA SHIRIKA LA MADINI LA STAMICO JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio la dola milioni 40,000, 106,91 la Kampuni ya Madini ya TWIGA toka kwa Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango wakishuhudiwa na wajumbe wa bodi hiyo wakati wa hafla ya kupokea gawio toka kwa kampuni ya Madini ya TWIGA na Shirika la Madini la Taifa STAMICO katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimatifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea gawio la Tsh. Bilioni Moja na Milioni Mia Moja toka kwa Mwenyekiti wa Bodi ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) Meja Jenerali (Mstaafu) Michael Isamuhyo akishuhudiwa na Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango, Msajili wa Hazina Bw. Athumani Mbuttuka na wajumbe wa bodi hiyo wakati wa hafla ya kupokea gawio toka kwa kampuni ya Madini ya TWIGA na Shirika la Madini la Taifa STAMICO katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimatifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13, 2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akipokea tuzo maalumu toka kwa Rais wa Shirikisho la Vyama vya Wachimbaji Madini Tanzania(Femata), John Bina, na makamu wake wakati wa hafla ya kupokea gawio toka kwa kampuni ya Madini ya TWIGA na Shirika la Madini la Taifa STAMICO katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimatifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13,
2020 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John
Pombe Magufuli akiongea na wageni waalikwa na wadau wa madini wakati wa hafla ya kupokea gawio toka kwa kampuni ya Madini ya TWIGA na Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimatifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Jumanne Oktoba 13, 2020

PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad