TANZIA: MSIBA WA BWANA GOSBERT MUTAGAYWA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 15, 2020

TANZIA: MSIBA WA BWANA GOSBERT MUTAGAYWA

Georgia Mutagaywa wa Mbezi Beach  anasikitika katangaza kifo cha kaka yake mpendwa - Gosbert Mutagaywa -  kilichotokea jijini Dar es Salaam. Mipango ya mazishi inaendelea nyumbani kwa Baba wa Marehemu kijijini Muhutwe, Muleba Kaskazini. Habari ziwafikie ndugu na marafiki wote wa Marehemu Gosbert. BWANA alitoa, na BWANA ametwaa; jina la BWANA na libarikiwe.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad