Cheza sasa kupitia Meridianbet, ushinde milioni 160 - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 16, 2020

Cheza sasa kupitia Meridianbet, ushinde milioni 160

  

UNAJIHISI mwenye bahati? Kama jibu ni Ndio, chagua Playson Solar Escape shindano la shilingi 160,000,000 za kitanzania kupitia kasino ya Meridianbet na ucheze slot maarufu utakayoshinda hadi shilingi 27,000,000 za kitanzania.

Mchezo wa Playson Solar Escape shindano la milioni 160 linapatikana kwenye Kasino ya Meridianbet!!


Moja kati ya watengenezaji mahiri wa slot kwenye kiwanda cha michezo. Mara zote, Playson wanahakikisha mashindano yanaendelea kupatikana kwa washirika wake. Shindano la sasa linaitwa Solar Escape milioni 160 na kama jina linavyojieleza, linazawadi kubwa inayofikia thamani ya shilingi 160,000,000 za Kitanzania. 


Linapatikana kwenye Kasino ya Meridianbet kuanzia Oktoba 16, shindano linakuhitaji ulichague na ufurahie. Ukishalichagua, utakachotakiwa kukifanya ni kucheza michezo iliyofuzu kupata zawadi ya 160,000,000. Ifikapo Oktoba 25, mchezaji wa kwanza kucheza atajipatia 27,000,000/=, usipoteze muda, anza kucheza sasa!


Kiwango cha chini cha kubashiri


Moja kati ya vitu vinavyovutia kwenye Shindano la Playson Solar Escape 160,000,000/= ni uhalisia kwamba hakuna kiwango cha chini cha kubashiri. Tofauti na mashindano mengine, unaweza kucheza slots zozote za ushindi kwenye Kasino ya Meridianbet kwa dau lolote ulilonalo na ukapata nafasi ya kushindana.


Shindano hili linapatikana kwa ubashiri wa pesa halisi pekee – ubashiri wa bonasi hautumiki. Shindano litafanyika kuanzia Oktoba 16 – Oktoba 25 na utawaruhusu wachezaji kupata zawadi kubwa kama watatokea kwenye ubao wa washindi. Ili kuwa kinara kwenye orodha ya washindi, utahitajika kukusanya pointi. Kila shilingi 2,800 utakayoiweka utapata pointi 100 na mchezaji mwenye pointi nyingi ataondoka na zawadi kubwa!


Michezo inayoshiriki ni:

 

∙ 3 Fruits Win: 10 Lines

∙ Burning Wins: classic 5 lines

∙ Diamond Wins: Hold and Win

∙ Solar Temple

∙ Sunny Fruits

∙ Pearl Beauty: Hold and Win

∙ Buffalo Power: Hold and Win

∙ Book of Gold: Multichance

∙ Solar King

∙ Solar Queen


Ili kuanza kucheza, zungusha reels ya slot yeyote kwakutumia pesa. Kadiri unavyotumia pesa nyingi ndivyo unavyopata pointi nyingi ambazo zitaendelea kukupandisha kwenye orodha ya washindi.


Zawadi ni Zipi?


Ondoa shaka! Kapu la zawadi linathamani ya €60,000. Kuna zawadi za pesa kwa wachezaji 250 watakaofanya vizuri zaidi. Mshindi wa kwanza atapata zawadi ya shilingi 27,000,000/=, mshindi wa pili atapata 20,000,000/= na mshindi wa tatu atapata 13,500,000/=. Inavutia!


Mshindi wa mwisho atapata 135,000/= ambacho ni kiwango kizuri. Anza sasa na ujiweke kwenye nafasi ya kupata ushindi mkubwa. Zawadi za pesa hazina makato, unaweza kutumia kadiri uwezavyo.


Kwanini ushiriki shindano kupitia Kasino ya Meridianbet?


Kwa sababu ni burudani! Umewahi kujaribu slot ya michezo ya Playson? Kama bado, tunakushauri ujaribu Book of Gold:Multichance. Sasa linapatikana bure au kwa pesa halisi kupitia Kasino ya Meridianbet, ni slot ya kuvutia yenye zawadi kubwa ambazo kwa hakika zitakushawishi.

Anza sasa, jiunge kupitia Meridianbet.co.tz

25 comments:

Post Bottom Ad