Mgombea
Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Mheshimiwa Dkt. John Pombe
Magufuli akiombewa baraka katika majukumu yake ya kazi na Masista wa
Bikira Maria of Kilimanjaro (Sisters of our lady of Kilimanjaro) wakati
akitoka kwenye mkutano wa Kampeni za CCM ambapo alisimama kuwasalimia
Masista hao waliojipanga pembezoni mwa barabara leo tarehe 21 Oktoba
2020.
Mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Rais Dkt. John Pombe Magufuli akiwasalimia Masista wa Bikira Maria of Kilimanjaro) Sisters of our lady of Kilimanjaro Moshi mjini mkoani Kilimanjaro wakati akitoka kwenye mkutano wa Kampeni za CCM ambapo alisimama kuwasalimia Masista hao wa Kanisa Katoliki ambao walikuwa wamejipanga pembezoni mwa barabara leo tarehe 21 Oktoba 2020
No comments:
Post a Comment