Mgombea Mwenza kwa tiketi ya CCM ahutubia wananchi wa Singida - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, October 1, 2020

Mgombea Mwenza kwa tiketi ya CCM ahutubia wananchi wa Singida

 

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza moja kwa moja kwa njia ya Simu na Mgombea wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM Dkt. John Pombe Magufuli kutoka Tunduma Mkoani Songwe wakati Mgombea Mwenza alipokuwa akihutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Shule ya Msingi Puma Mkoani Singida leo Octoba 01,2020.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Kitabu cha Ilani ya utekelezaji wa CCM 2020/25 Mbunge mteule wa Jimbo la Singida Magharibi Mhe. Elibariki Immanuel Kingu kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo Octoba 01,2020 katika Uwanja wa  Shule ya Msingi Puma Mkoan Singida.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Makiungu Singida Mashariki alipokuwa katika ziara ya kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Octoba 01,2020.
Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akimkabidhi Kitabu cha Ilani ya utekelezaji wa CCM 2020/25 Mbunge mteule wa Jimbo la Singida Mashariki Mhe. Miraji Jumanne Mtaturu kwenye mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika leo Octoba 01,2020 katika Eneo la Makiungu Singida Mashariki. (Picha na Ofisi ya Makamu wa RaisNo comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad