Ligi ya Mabingwa, UEFA 2020/21 Kuendelea Leo usiku! - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 20, 2020

Ligi ya Mabingwa, UEFA 2020/21 Kuendelea Leo usiku!

 *Ajax kuwakaribisha Liverpool.

HUU ni mchezo wa aina yake katika ulimwengu wa soka. Mchezo huu unaturudisha mwaka 1966 ambapo timu hzi zilikutana na hazijawahi kukutana tena mpaka sasa. 


Ajax na Liverpool kwa siku za karibuni ni timu ambazo zimekuwa zikifanya mambo makubwa kwenye soka la ulaya. Katika Ligi ya Mabingwa – UEFA, Ajax watakumbukwa kwa soka safi na lenye nidhamu kubwa walilolionesha 2018/19. Huu ndio msimu ambao Liverpool pia walitwaa ubingwa wa UEFA.

Ajax ni miamba ya soka nchini Uholanzi na sasa watawakaribisha miamba ya soka la Uingereza – Liverpool. 


Licha ya kwamba Liverpool wanakwenda kwenye mchezo huu bila ya mlinzi wao hodari – Virgil Van Dijk na golikipa wao Alisson Becker, bado wanaonekana kuwa ni tishio kwa Ajax ambao wanatimu iliyotawaliwa na vijana wenye ari ya soka la ushindani.


Takwimu zinaonesha Ajax na Liverpool wamekutana mara 2 tu. Liverpool akishinda mara 1 na kutoa sare mara 1. Ajax hajawahi kuifunga Liverpool katika mar azote 2 walizokutana.


Ni Suarez au Lewandowski atakupatia pesa mfukoni?

Kwa upande wa wataalamu wa Meridianbet, odds za mchezo huu zimechangamka!! Ushindi kwa Ajax unaodds ya 4.60, Liverpool anathaminiwa kwa odds ya 1.71 wakati matokeo ya sare yanaodds ya 3.82.

Wataalamu wa Meridian wamekuwekea ofa ya machaguo zaidi ya 1,200 ambayo unaweza kuyaangalia hapa.


Kuwa sehemu ya mchezo huu na ubashiri vile unavyopenda! Kwa odds nzuri, ofa kabambe za michezo na mambo kemkem, Meridian inakusaidia kuwa mshindi!


Jisajili na Meridiabet hapa http://www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanzekubashiri kwa uruhu nyumbani kwako. Pia unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.


Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!

26 comments:

  1. Mpira ulaya bwana ndio mipira yenye kureta hamasa

    ReplyDelete

Post Bottom Ad