EL Clasico, Mechi ya kipekee katika ligi ya La Liga - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, October 23, 2020

EL Clasico, Mechi ya kipekee katika ligi ya La Liga

*Barcelona Kuwakaribisha Real Madrid

NI mara chache sana kuona mechi inateka hisia za mashabiki ulimwenguni kama ilivyo El Clasico! Hilo sio jambo la kushangaza sana kwasababu miamba hii ya Uhispania imejengwa na wachezaji bora duniani. Timu hizi ni kati ya timu zenye mafanikio makubwa kwenye ulimwengu wa soka na pia zinautajiri mkubwa duniani.


Mchezo kati ya Barcelona na Real Madrid umepangwa kuchezwa saa 10 jioni katika dimba la Camp Nou bila ya mashabiki kuwepo uwanjani.


Amini usiamini, upinzani kati ya Barcelona na Real Madrid unazaidi ya karne! Mchezo wa kwanza wa El Clasico ulichezwa 1902 kwenye Copa de la Coronation ambapo Barca alishangia ushindi wa 3-1. Kila kitu baada ya hapo kimebaki kuwa historia mpaka leo.


Real Madrid ni mabingwa watetezi wa LaLiga. Kwa sasa anashikilia nafasi ya 3 kwenye msimao wa ligi akiwa na pointi 10. Katika michezo 5 iliyopita, ameshinda 3, katoa sare 1 na kupoteza mchezo 1. Barcelona wapo nafasi ya 9 wakikwa na pointi 7.


Mchezo wa leo umetanguliwa na mzunguko wa kwanza wa michezo ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ambapo Real Madrid walifungwa na Shakhtar 3-2 wakiwa nyumbani – Santiago Bernabeu, Barcelona aliwalaza Ferencvaros kwa magoli 5-1.


Barcelona wamepatiwa faida ya kushinda mchezo wa El Clasico kwa 42% wakati kwa Real Madrid uwezekano wa kushinda ni 31%. Nafasi ya mchezo kumalizika kwa sare ni 27%, nafasi ya mchezo kuwa na magoli 2 au zaidi ni 77%.

Bofya hapa kuona ofa zenye odds kubwa kupitia Meridianbet.

Odds za mchezo wa Barcelona vs Real Madrid kwenye Meridianbet:

• 1 - 2.10

• x - 3.65

• 2 - 3.45

Kuwa sehemu ya mchezo huu na ubashiri vile unavyopenda! Kwa odds nzuri, ofa kabambe za michezo na mambo kemkem, Meridian inakusaidia kuwa mshindi!


Jisajili na Meridiabet hapa http://www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanzekubashiri kwa uruhu nyumbani kwako. Pia unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.


Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!

18 comments:

Post Bottom Ad