UEFA Nations League Inaendelea Kutimua Vumbi - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 4 September 2020

UEFA Nations League Inaendelea Kutimua Vumbi

SAFARI hii ni Ureno dhidi ya Croatia! Ligi ya Mataifa ya Ulaya - UEFA Nations Ligue inaendelea kutimua vumbi katika viwanja mbalimbali barani Ulaya.
Ureno watawakaribisha Croatia katika dimba la Estadio do Dragao kesho Ijumaa majira ya saa 4 kasoro robo usiku katika muendelezo wa michezo ya UEFA Nations League
Je, nani ataonesha umwamba dhidi ya mpinzani wake?
Mreno hajapoteza mchezo wowote katika mechi 5 za mwisho kuwakutanisha Ureno dhidi ya Croatia. Katika michezo hiyo, Ureno wameshinda mara 4 na kutoa sare mara 1 katika mchezo ulikuowa wa kirafiki mwaka 2019.
Ureno ambao ndio mabingwa watetezi wa kombe la UEFA Nations League, wamefungwa goli 1 pekee dhidi ya Croatia wakati wao wakiwafunga Croatia jumla ya magoli 8 katika mechi walizokutana.
Ureno watakuwa kibaruani kutetea ubingwa wao na watakutana na Sweden baada ya mchezo huu. Croatia anakibarua kingine kizito baada ya Ureno, atakutana uso kwa uso na Ufaransa.
Kwa upande wa Odds za mechi hii ni za uhakika na zinavutia - Meridiabet wanauthamini ushindi wa Ureno kwa Odds ya  1.89. Wakati ambapo, ushindi kwa Croatia umepatiwa Odds ya 4.11 na  matokeo ya sare ni Odds ya 3.43
Wataalamu wa Meridian wamekuwekea ofa ya machaguo zaidi ya 1,200 ambayo unaweza kuyaangalia hapa.
Kuwa sehemu ya mchezo huu na ubashiri vile unavyopenda! Kwa odds nzuri, ofa kabambe za michezo na mambo kemkem, Meridian inakufanya kuwa mshindi!
Jisajili na meridianbet hapa www.meridianbet.co.tz na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. 
Pia, unaweza kuweka pesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, Tuna Bonasi ya 100%  inakusubiri.
Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!

14 comments:

Post Bottom Ad