PPRA YASHIRIKI MAONESHO YA WAHANDISI 2020,YATOA UJUMBE KWA WADAU JIJINI DODOMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, 4 September 2020

PPRA YASHIRIKI MAONESHO YA WAHANDISI 2020,YATOA UJUMBE KWA WADAU JIJINI DODOMA

 Afisa Mtendaji Mkuu wa PPRA, Mhandisi Leonard S. Kapongo akimsikiliza Meneja wa TANROADS Mkoa wa Manyara, Mhandisi Bashiri Rwesingisa, ambaye alitembelea banda la PPRA katika Maonesho ya Siku ya Wahandisi mwaka 2020
Watumishi wa PPRA wakitoa elimu kwa wadau
 
Watumishi wa PPRA wakiwa katika banda lao wakati wa maonesho ya Siku ya Wahandisi (Annual engineers day), 2020 yanayofanyika jijini Dodoma.

 .  Kaimu Mkurugenzi wa Kujenga Uwezo na uduma za Ushauri  -  PPRA, Mhandisi Mary Swai, akitoa elimu kuhusu huduma zinazotolewa na PPRA kwa wadau waliotembelea banda la PPRA kwenye Maonesho ya Siku ya Wahandisi (Annual engineers day), 2020 yanayofanyika jijini Dodoma.
Afisa Mtendaji mkuu wa PPRA, Mhandisi Leonard S. Kapongo akiwa pamoja na watumishi wa Mamlaka hiyo alipotembelea banda lao katika maonesho ya Siku ya Wahandisi (Annual engineers Day), 2020 kujionea namna zoezi la utoaji elimu kwa wadau linavyoendelea.

1 comment:


  1. Many of the people who turn to the services of escort girls are reputable, local businessmen or those who come from abroad. The exclusive services of escort girls are a very common thing in the business company. But not only they (business people) enjoy these services. Escort girls end up providing social and entertainment services that can suit anyone.Escorts


    ReplyDelete

Post Bottom Ad