Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba
John Kabudi akimuelezea jambo Balozi wa Denmark nchini Mhe. Mette
Norgaard Dissing-Spandet akimueleza jambo wakati walipokutana kwa
mazungumzo jijini Dar es Salaam
Balozi
wa Denmark nchini Mhe. Mette Norgaard Dissing-Spandet akiongea na
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Kabudi
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Kabudi
akimuonesha Balozi mteule wa Uingereza hapa nchini, Dkt. David Concar
namna magazeti yanavyo ripoti habari za uchaguzi mkuu bila upendeleo
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Kabudi akimkabidhi Balozi mteule wa Uingereza nchini, Dkt. David Concar nakala za sheria ya uchaguzi na kanuni za uchaguzi
No comments:
Post a Comment