Michezo ya Carabao Cup Kuendelea Wiki Hii - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 30, 2020

Michezo ya Carabao Cup Kuendelea Wiki Hii

Liverpool na Arsenal Uso kwa Uso kwa Mara ya tatu 2020/21
BAADA ya kufungua msimu mpya wa EPL kwa Mchezo wa Ngao ya Jamii na kisha kukutana kwenye mchezo wa Ligi Kuu Uingereza - EPL. Liverpool na Arsenal kukutana tena kwenye Mchezo wa Carabao Cup.

Kwa ujumla, Liverpool na Arsenal  wameshakutana mara 196. Liverpool ameibuka kidedea mara 73 wakati Arsenal ameshinda mara 69 na wametoka sare mara 54. 

Mchezo wa Carabao Cup umewakutanisha Arsenal na Liverpool mara 3 pekee. Arsenal ameshinda mara mbili (mwaka 2007 na 2009) na Liverpool ameshinda mara 1 mwaka 2019. Mchezo wa mwisho kuwakutanisha Liverpool na Arsenal, ulikuwa kwenye EPL msimu huu ambapo Liverpool aliibuka mshindi kwa magoli 3-1 dhidi ya Arsenal katika dimba la Anfield.


Kwa upande wa odds, wataalamu wa Meridian wamempatia faida Liverpool. Ushindi kwa Liverpool unathaminiwa kwa odds ya 2.01, ushindi wa Arsenal umepatiwa odds ya 3.33 wakati matokeo ya sare ni 3.62. 


Wataalamu wa Meridian wamekuwekea ofa ya machaguo zaidi ya 1,200 ambayo unawezakuyaangalia hapa.


Kuwa sehemu ya mchezo huu na ubashiri vile unavyopenda! Kwa odds nzuri, ofa kabambe za michezo na mambo kemkem, Meridian inakusaidia kuwa mshindi! 


Jisajili na meridianbet hapa na furaha yako itaanzia hapo. Pakua App ya Meridianbet kwenye simu yako na uanze kubashiri kwa uhuru nyumbani kwako. Pia unaweza kuwekapesa kwenye akaunti yako kupitia KwikPay, M-PESA au Airtel Money. Kumbuka, daima hauwezi kupoteza tiketi yako ya kwanza ukiwa na Meridianbet, tuna Bonasi ya 100% inakusubiri.


Meridian - Nyumba yenye odds bora na bonasi kubwa!

19 comments:

 1. Odds kali za kupiga mkwanja kwa Arsenal na Liverpool

  ReplyDelete
 2. Liverpool mshindi hana mpinzani.

  ReplyDelete
 3. Liverpool mshindi hana mpinzani.

  ReplyDelete
 4. Duuh! Arsenal huwezi amini ndo aliondoka na kicheko uwanjani.

  ReplyDelete
 5. Imekaa safi sanaπŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

  ReplyDelete

Post Bottom Ad