Mgombea Urais kwa Tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM Rais
Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akicheza juu ya Gari yake mara
baada ya kuzungumza na wananchi wa Dodoma mjini wakati
akitokea mkoani Tabora kwenye mikutano ya Kampeni ya CCM leo
tarehe 22 Septemba 2020.
No comments:
Post a Comment