HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, 22 September 2020

Hakuna Kulala Alfajiri ya Kesho,Denver Nuggets dhidi ya LA Lakers

Jisajili na ushinde bonasi kubwa kwa tiketi za ushindi!


Fainali ya Western Conference inaendelea kupamba moto! LeBron James na Anthony Davis wanaendelea kumuumiza Nikola Jokic na wenzake, kama Denver wataweza kupindua meza ya ushindi na kubeba taji. 

Katika muendelezo huu ambao unachukua muda mrefu, wataalamu wa Meridian wameandaa bonasi ya kuwakaribisha wachezaji wapya.

Kwa vile unafursa ya kujipatia pesa, unapaswa kuweka tiketi yenye ubashiri wako kupitia Wataalamu wa Meridian.

Tunafahamika kwa ofa nzuri na odds kubwa, umepatiwa fursa ya kipekee na yenye kuvutia – furahia mchezo wa kikapu na ujipatie pesa!

Mshindi wa finali ya Western Conference atacheza fainali ya NBA ambapo atachuana na mshindi wa fainali ya Eastern Conference ambao ni mpambano wa Boston Celtics dhidi ya Miami Heats.

Denver hawajawahi kucheza fainali ya NBA. Upande wa pili, LA Lakers wameshinda fainali za Conferences mara 31 na LeBron James pekee amecheza mara 9.

Kumbukumbu zinatuambia, Denver amecheza fainali ya Western Conference mara ya mwisho mwaka 2009 walipofungwa na Lakers 4-2.

Usiwachukulie poa, Denver ndio timu ya kwanza kupindua matokeo mara 2 mfululizo kwenye msimu mmoja. Walifanya hivyo dhidi ya Utah na LA Clippers walipokuwa wamefungwa 3-1. Hii inatufanya tuamini huu ‘mtanange’ bado ni wa moto!!

Si lazima kuweka utabiri wako kabla mechi hizi hazijaanza. Meridian wanakupa nafasi ya kuisapoti timu yako hata kama zimebaki dakika chache mchezo huu kumalizika. Hii inawezekana na inapatikana, pongezi kwa chaguo la utabiri mubashara kwenye Meridian.

Kama unazipenda fursa za NBA, basi jaribu bahati yako na utabiri mshindi wa Ligi ya NBA msimu wa 2019/20.

Meridian – nyumba ya odds nzuri na bonasi kubwa.


7 comments:

Post Bottom Ad