Mgombea
Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho
Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo Bukoba Vijijini Mhe. Jason
Rweikiza huku wabunge wateule wa CCM Viti maalum wakingoja zamu zao
baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake wa
kampeni katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano Septemba
16, 2020.
Mgombea
Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho
Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimsikiliza Mbunge wa Bukoba mjini na Waziri wa Maliasili na
Utalii Mstaafu Balozi Khamis Juma Suedi Kagasheki akimnadi Bw. Stephen
Byabato (aliyejishika mikono) kugombea ubunge wa jimbo hilo huku Meya
Mstaafu wa Manispaa ya Bukoba Dkt. Anatory Amani (kulia) akingoja
kufanya hivyo katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano
Septemba 16, 2020
Mgombea
Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho
Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiongea na maelfu kwa maelfu ya wananchi katika mkutano wake
wa kampeni katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Jumatano
Septemba 16, 2020.
Mgombea
Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho
Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiongoza sala ya kuombea wanafunzi 10 waliofariki na wengine
kujeruhiwa kwa ajali ya moto katika Shule ya Msingi Islamic Byamungu
iliyopo kata yaIrera Wilayani Kyerwa mkoani Kagera iliyotokea majuzi
kabla ya kuanza kwa mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Gymkhana
mjini Bukoba leo Jumatano Septemba 16, 2020
Mgombea
Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho
Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akiaga baada ya kuhutubia maelfu kwa maelfu ya wananchi katika
mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo
Jumatano Septemba 16, 2020
Maelfu
kwa Maelfu ya Wananchi wakimsikiliza Mgombea Urais wa Chama cha
Mapinduzi ambaye ndiye Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
katika mkutano wake wa kampeni katika viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba
leo Jumatano Septemba 16, 2020.
Wasani
wa TMK wakiwa na alama kuu za CCM bnaada ya kutumbuiza kwenye mkutano
wa kampeni viwanja vya Gymkhana mjini Bukoba leo Septemba 16, 2020.
Mgombea
Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho
Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimpa zawadi ya kofia msanii Ali
Kiba
baada ya kutumbuiza katika Mkutano wa Kampeni mjini Bukoba mkoani
Kagera leo Jumatano Septemba 16, 2020. Rais Dkt. Magufuli ameitaja Sanaa
kama moja ya sekta muhimu sana za uchumi nchini na kuahidi kuisimamia
kikamilifu katika kipindi chake cha pili cha Serikali ya awamu ya Tano
endapo akichaguliwa tena kuongoza Tanzania kwa miaka mitano mingine.
Msanii
Ali Kiba akifurahia kofia aliyopewa na Mgombea Urais wa Chama cha
Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho Tawala na Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli baada ya
kutumbuiza katika Mkutano wa Kampeni mjini Bukoba mkoani Kagera leo
Jumatano Septemba 16, 2020. Rais Dkt. Magufuli ameitaja Sanaa kama moja
ya sekta muhimu sana za uchumi nchini na kuahidi kuisimamia kikamilifu
katika kipindi chake cha pili cha Serikali ya awamu ya Tano endapo
akichaguliwa tena kuongoza Tanzania kwa miaka mitano mingine.
Mgombea
Urais wa Chama cha Mapinduzi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama hicho
Tawala na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe
Magufuli akimpa zawadi ya kofia msanii Kala Jeremiah baada ya kutumbuiza
katika Mkutano wa Kampeni mjini Biharamulo mkoani Kagera leo Jumatano
Septemba 16, 2020.

No comments:
Post a Comment