Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akisalimiana na Mbunge Mteule wa Jimbno la Peramiho Mhe. Jenista
Muhagama alipowasili katika Uwanja wa Tamasha Peramiho (A) Wilaya ya
Songea Vijijini Mkoani Ruvuma kwa ajili ya kuhutubia mkutano wa kampeni
za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba 16,2020.


Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akihutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi na Wananchi Jimbo la
Peramiho mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa
Tamasha Peramiho (A) Wilaya Songea Vijijini Mkoani Ruvuma leo Septemba
16,2020.

Mgombea Mwenza wa Kiti cha Urais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM ambae pia ni Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akimkabidhi kitabu cha Ilani ya CCM 2020/25 Mbunge Mteule wa Jimbno la
Peramiho Mhe. Jenista Muhagama kwa ajili ya kuinadi kwenye mikutano ya
kampeni za CCM baada ya kuwahutubia Wanachama wa Chama cha Mapinduzi CCM
na Wananchi wa Jimbo la Peramiho katika Uwanja wa Tamasha Peramiho (A)
Wilaya ya Songea Vijijini Mkoani Ruvuma leo Septemba 16,2020.


Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi
CCM na Wananchi wa Jimbo la Peramiho wakimsikiliza Mgombea Mwenza wa
Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya CCM
ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan, alipokuwa akiwahutubia kwenye mkutano wa Kampeni za
Chama cha Mapinduzi CCM katika Uwanja wa Tamasha Peramiho (A) Wilaya ya
Songea Vijijini Mkoani Ruvuma leo Septemba 16,2020.

Kijana Jimy
Sammwel (18) Mwanafunzi wa Kidato cha sita katika Shule ya Sekondari
Mposeni Wilaya ya Songea Vijijini akiwa na Picha yenye Sura ya Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa Tiketi ya CCM Dkt. John
Pombe Magufuli alipofika kwenye mkutano CCM uliofanyia katika Uwanja wa
Tanmasha Peramiho Wilaya ya Songea Vijijini leo Sept 16,2020.


Mgombea
Mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi
ya CCM ambae pia ni Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na kuzungumza na Wanachama wa
Chama cha Mapinduzi CCM na Wananchi wa kijiji cha Kigonsera Mbinga
alipokuwa njiani akielekea Mbinga Vijijini Mkoani Ruvuma kwa ajili ya
kuhutubia mkutano wa kampeni za Chama cha Mapinduzi CCM leo Septemba
16,2020.
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
No comments:
Post a Comment