RAIS DKT.MAGUFULI AKABIDHI UENYEKITI WA SADC KWA RAIS WA MSUMBIJI MHE.FILIPE NYUSI - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, August 17, 2020

RAIS DKT.MAGUFULI AKABIDHI UENYEKITI WA SADC KWA RAIS WA MSUMBIJI MHE.FILIPE NYUSI

 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikabidhi Uenyekiti wa (SADC) kwa Balozi wa Msumbiji hapa nchini Monica Patricio Clemente ambaye alipokea kwa niaba ya Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi katika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifatilia Mkutano wa 40 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa (SADC) uliokuwa ukifanyika kwa njia ya Mtandao mara baada ya kukabidhi Uenyekiti wa SADC kwa Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi aliyewakilishwa na Balozi wa Tanzania hapa nchini Monica Patricio Clemente Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 17 Agosti, 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika mkutano wa 40 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC uliokuwa ukifanyika kwa njia ya Mtandao kabla ya kukabidhi Uenyekiti wa SADC kwa Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi aliyewakilishwa na Balozi wa Tanzania hapa nchini Monica Patricio Clemente Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 17 Agosti, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akifatilia Mkutano wa 40 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC uliokuwa ukifanyika kwa njia ya Mtandao kabla ya kukabidhi Uenyekiti wa SADC kwa Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi aliyewakilishwa na Balozi wa Tanzania hapa nchini Monica Patricio Clemente Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 17 Agosti, 2020.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia katika mkutano wa 40 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa SADC uliokuwa ukifanyika kwa njia ya Mtandao kabla ya kukabidhi Uenyekiti wa SADC kwa Rais wa Msumbiji Filipe Jacinto Nyusi aliyewakilishwa na Balozi wa Tanzania hapa nchini Monica Patricio Clemente Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 17 Agosti, 2020.


PICHA NA IKULU
 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad