Mratibu wa Kikosi
kazi toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa anayeratibu shughuli za Uchaguzi Mkuu
mwaka 2020 Kanda ya Ziwa, kundi B, Bibi. Chevu Sepeku akikabidhi fomu za
gharama za uchaguzi kwa Mratibu wa Uchaguzi Mkoa wa Shinyanga Bw. Fabian Kamoga
mara baada ya kujitambulisha katika Ofisi za Mkuu wa Mkoa tayari kwa kuendelea
na jukumu la kusambaza fomu hizo leo mjini Shinyanga. Zoezi hilo ni kurahisisha
utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Msajili ambayo ndiyo yenye dhamana ya
kusimamia sheria ya gharama za uchaguzi na 6 ya mwaka 2010. Kanda hiyo
inahusisha mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Mara.
Mratibu
wa Kikosi kazi toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa anayeratibu shughuli za Uchaguzi Mkuu mwaka
2020 Kanda ya Ziwa, kundi B, Bibi. Chevu Sepeku akikabidhi fomu za gharama za
uchaguzi kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Shinyanga Mjini, Geofrey Mwangulube
leo mjini Shinyanga. Zoezi hilo ni kurahisisha utekelezaji wa majukumu ya Ofisi
ya Msajili ambayo ndiyo yenye dhamana ya kusimamia sheria ya gharama za
uchaguzi na 6 ya mwaka 2010. Kanda hiyo inahusisha mikoa ya Shinyanga, Simiyu
na Mara.
Mratibu
wa Kikosi kazi toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa anayeratibu shughuli za Uchaguzi Mkuu mwaka
2020 Kanda ya Ziwa, kundi B, Bibi. Chevu Sepeku akikabidhi fomu za gharama za
uchaguzi kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Solwa,Bibi Hoja Mahiba leo wilayani
Shinyanga. Zoezi hilo ni kurahisisha utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya
Msajili ambayo ndiyo yenye dhamana ya kusimamia sheria ya gharama za uchaguzi
na 6 ya mwaka 2010. Kanda hiyo inahusisha mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Mara.
Mratibu
wa Kikosi kazi toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa anayeratibu shughuli za Uchaguzi Mkuu mwaka
2020 Kanda ya Ziwa, kundi B, Bibi. Chevu Sepeku akikabidhi fomu za gharama za
uchaguzi kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Kahama Mjini, Anderson Msumba leo
mjini Kahama. Zoezi hilo ni kurahisisha utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya
Msajili ambayo ndiyo yenye dhamana ya kusimamia sheria ya gharama za uchaguzi
na 6 ya mwaka 2010. Kanda hiyo inahusisha mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Mara
Mratibu
wa Kikosi kazi toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa anayeratibu shughuli za Uchaguzi Mkuu mwaka
2020 Kanda ya Ziwa, kundi B, Bibi. Chevu Sepeku akikabidhi fomu za gharama za
uchaguzi kwa Msimamizi wa Uchaguzi Jimbo la Msalama, Simon Berege leo mjini Kahama.
Zoezi hilo ni kurahisisha utekelezaji wa majukumu ya Ofisi ya Msajili ambayo
ndiyo yenye dhamana ya kusimamia sheria ya gharama za uchaguzi na 6 ya mwaka
2010. Kanda hiyo inahusisha mikoa ya Shinyanga, Simiyu na Mara
Mratibu
wa Kikosi kazi toka Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa anayeratibu shughuli za Uchaguzi Mkuu mwaka
2020 Kanda ya Ziwa, kundi B, Bibi. Chevu Sepeku akikabidhi fomu za gharama za
uchaguzi kwa Afisa Ugavi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ushetu kwa niaba ya Msimamizi
wa Uchaguzi Jimbo la Ushetu, Bi. Neema Daud leo mjini Kahama. Zoezi hilo ni
kurahisisha utekelezaji wa majukumu ya
Ofisi ya Msajili ambayo ndiyo yenye dhamana ya kusimamia sheria ya
gharama za uchaguzi na 4 ya mwaka 2010.(Picha na ORPP)
No comments:
Post a Comment