Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo (Bara) Bw.Gerald Kusaya akiongea na
watendaji wa mradi wa Kuimarisha Uzalishaji Mpunga (ERPP) alipokagua
skimu ya umwagiliaji ya Mtwango wilaya ya Magharibi ‘B’ Zanzibar
leo.Kulia kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo( Zanzibar) Bi.Maryam
Abdulla.
Katibu
Mkuu Wizara ya Kilimo Bw.Gerald Kusaya akizungumza na waandishi wa
habari mjini kuhusu miradi inayotekelezwa na wizara yake kwa ushirikiano
na Wizara ya Kilimo Zanzibar ikiwemo ya Kudhibiti Sumukuvu (TANIPAC) na
Kuongeza Tija na uzalishaji zao la Mpunga (ERPP)





No comments:
Post a Comment