NAIBU WAZIRI WAITARA ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA AFYA-IDARA KUU YA MAENDELEO YA JAMII NANENANE SIMIYU - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, August 4, 2020

NAIBU WAZIRI WAITARA ATEMBELEA BANDA LA WIZARA YA AFYA-IDARA KUU YA MAENDELEO YA JAMII NANENANE SIMIYU

Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mwita Waitara akiangalia Kitabu cha Muongozo wa Uhamishaji Jamii kuhusu Ujenzi wa Nyumba Bora alipotembelea banda la Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii katika Viwanja vya maonesho ya Nanenane Nyakabindi Mkoani Simiyu.
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mwita Waitara akiangalia ramani ya ujenzi wa nyumba za gharama nafuu na Teknolojia rahisi alipotembelea banda la Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii katika Viwanja vya maonesho ya Nanenane Nyakabindi Mkoani Simiyu .
Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI Mwita Waitara akisaini katika kitabu cha wageni kwenye banda la Wizara ya Afya- Idara Kuu ya Maendeleo ya Jamii katika Viwanja vya maonesho ya Nanenane Nyakabindi Mkoani Simiyu.

Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad