HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 20, 2020

KATIBU KAGAIGAI AONGOZA ZIARA YA MAFUNZO KWA MAASKOFU NA MAPADRE KUTOKA PAROKIA MBALIMBALI TANZANIA

Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akifafanua jambo mbele ya Maaskofu na Mapadre kutoka Parokia mbalimbali hapa Tanzania ambao wametimiza miaka 40 ya utume wao ndani ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma wakiwa katika ziara ya mafunzo.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (watatu kushoto) akiwa katika maombi maalum ya kuliombea Bunge yaliyotolewa na Maaskofu na Mapadre kutoka Parokia mbalimbali hapa Tanzania ambao wametimiza miaka 40 ya utume wao nje ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (watano kushoto mbele) akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu na Mapadre kutoka Parokia mbalimbali hapa Tanzania ambao wametimiza miaka 40 ya utume wao nje ya ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (kulia) akiongozana na Maaskofu na Mapadre kutoka Parokia mbalimbali hapa Tanzania ambao wametimiza miaka 40 ya utume wao wakati wakiingia katika ukumbi wa Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya mafunzo.
Baadhi ya Maaskofu na Mapadre kutoka Parokia mbalimbali hapa Tanzania ambao wametimiza miaka 40 ya utume wao wakimsikiliza w Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai (hayupo kwenye picha) wakati walipotembelea ofisi za Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya ziara ya mafunzo.
Katibu wa Bunge, Ndg. Stephen Kagaigai akizungumza na Maaskofu na Mapadre kutoka Parokia mbalimbali hapa Tanzania ambao wametimiza miaka 40 ya utume wao walipotembelea ofisi za Bunge Jijini Dodoma kwa ajili ya ziara ya mafunzo. (PICHA NA OFISI YA BUNGE)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad