MWENYEKITI CCM RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA CCM (NEC) JIJINI DODOMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, August 20, 2020

MWENYEKITI CCM RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA CCM (NEC) JIJINI DODOMA

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Wajumbe wa NEC wakati wa ufunguzi wa Kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kilichofanyika leo kwenye ukumbi wa White House Makao Makuu ya CCM jijini Dodoma, kwa ajili ya kujadili na kupitisha majina ya wagombea wake wa Ubunge katika Uchaguzi Mkuu ujao.  

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad