Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua upanuzi na uboreshaji wa bandari ya Mtwara Julai 7, 2020. , 2020. Kulia ni Mkuu wa Mkoa
wa Mtwara, Gelasius Byakanwa na katikati ni Meneja wa Bandari ya Mtwara,
Mhandisi Juma Kijavara.
Eneo la bandari ya Mtwara linalopanuliwa katika maboresho yanayofanywa
na serikali ili kukuza uwezo wa bandari hiyo. Waziri Mkuu, Kassim
Majaliwa amekagua upanuzi huo Julai 7, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
No comments:
Post a Comment