RAIS DKT. MAGUFULI AAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA JIJINI DODOMA - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, July 20, 2020

RAIS DKT. MAGUFULI AAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA JIJINI DODOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi  Marwa Mwita Bubirya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20, 2020.
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli

akimuapisha Dkt Aloyce Nzuki kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na
Utali kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai
20, 2020.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli

akimuapisha Dkt. Seif Shekilage kuwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Songwe
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20,
2020.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli

akimuapisha Mhandisi Anthony Sanga kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Maji
kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20,
2020.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt Allan Kijazi kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Julai 20, 2020.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad