HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Friday, July 17, 2020

DKT HASSAN ABBAS ATEMBELEA OFISI ZA COSOTA, AWAACHIA MAAGIZO MAZITO YA UTEKELEZAJI



Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbas, jana ametembelea ofisi za Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (Cosota) jijini Dar es Salaam na kuwataka Bodi na wafanyakazi, baada ya taasisi hiyo kuhamishiwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, wachape kazi zaidi na kwa kasi na kuhakikisha taasisi hiyo inageuka kuwa kimbilio la wadau wa sanaa na ubunifu nchini na hasa kufikia lengo la kuwafanya wasanii na wadau wengine wa kazi za sanaa za ubunifu Tanzania kuwa mashuhuri-tajiri na si mashuhuri-maskini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo na ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali Dkt.Hassan Abbas, akifafanua jambo alipotembelea ofisi za Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (Cosota) jijini Dar es Salaam na kuwataka Bodi na wafanyakazi, baada ya taasisi hiyo kuhamishiwa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, wachape kazi zaidi na kwa kasi na kuhakikisha taasisi hiyo inageuka kuwa kimbilio la wadau wa sanaa na ubunifu nchini na hasa kufikia lengo la kuwafanya wasanii na wadau wengine wa kazi za sanaa za ubunifu Tanzania kuwa mashuhuri-tajiri na si mashuhuri-maskini.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad