HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, October 12, 2019

RAIS DKT. MAGUFULI AJIANDIKISHA KATIKA DAFTARI LA WAPIGA KURA KWA AJILI YA UCHAGUZI WA SERIKALI ZA MITAA KATIKA KITONGOJI CHA SOKOINE CHAMWINO MJINI DODOMA

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akijiandikisha katika daftari la Wapiga Kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika Kitongoji cha Sokoine Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 12/10/2019. Kulia aliyekaa ni Afisa Uchaguzi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino Mary Joseph Mwambongo
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuangalia Afisa Uchaguzi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino Mary Joseph Mwambongo akimalizia taratibu za uandikishaji katika katika Kitongoji cha Sokoine Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 12/10/2019.
 Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akijiandikisha katika daftari la Wapiga Kura kwa ajili ya uchaguzi wa Serikali za Mtaa katika Kitongoji cha Sokoine Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 12/10/2019. Kulia aliyekaa ni Afisa Uchaguzi kutoka Halmashauri ya Wilaya ya Chamwino Mary Joseph Mwambongo
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa Kitongoji cha Sokoine Chamwino mkoani Dodoma leo mara baada ya kujiandikisha katika katika Kitongoji cha Sokoine Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 12/10/2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika foleni ya kuchukua chakula pamoja na Waandishi wa Habari mkoani Dodoma leo tarehe 12/10/2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa ana kula chakula pamoja na Waandishi wa habari wa Vyombo mbalimbali vya habari wa mkoani Dodoma leo. PICHA NA IKULU


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad