Rais Dkt. Magufuli akagua Mradi wa Ujenzi wa Machinjio ya Kisasa Vingunguti - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, 16 September 2019

Rais Dkt. Magufuli akagua Mradi wa Ujenzi wa Machinjio ya Kisasa Vingunguti

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akukagua eneo la Machinjio ya Ng’ombe na Mbuzi Vingunguti jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kukagua ujenzi wa machinjio ya kisasa ambao unasuasua.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na kukagua eneo la Machinjio ya Ng’ombe na Mbuzi Vingunguti jijini Dar es Salaam mara baada ya kufanya ziara ya kushtukiza kukagua ujenzi wa machinjio ya kisasa ambao unasuasua. PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad