Airtel Tanzania, Board ya Wakurugenzi na Wafanyakazi wake wamlilia Eng, Dkt Omar Rashid Nundu - MTAA KWA MTAA BLOG

HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, 12 September 2019

Airtel Tanzania, Board ya Wakurugenzi na Wafanyakazi wake wamlilia Eng, Dkt Omar Rashid Nundu

 Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania Plc, bw. Sunil Colaso akimwaga udongo ishara ya kuuaga mwili wa marehemu Omari Rashid Nundu aliyekuwa Mwenyekiti wa bodi ya Airtel Tanzania Plc aliyefariki siku ya Jumatano Septemba 11, 2019. 
Mkurugenzi Mkuu wa Airtel Tanzania Plc, bw. Sunil Colaso akisaini kitabu cha maombolezo,alipo hudhuria msibani kwa aliyekua Mwenyekiti wa bodi ya Airtel Tanzania Plc aliyefariki siku ya jumatano Septemba 11, 2019. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad