HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, July 2, 2019

WAZIRI LUGOLA AONGOZA KIKAO CHA TUME YA UTUMISHI WA POLISI, UHAMIAJI NA MAGEREZA JIJINI DODOMA

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na Wajumbe  wa Tume ya Utumishi ya Polisi, Uhamiaji na Magereza wakati wa kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya wizara.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola akizungumza na Wajumbe  wa Tume ya Utumishi ya Polisi, Uhamiaji na Magereza (hawapo pichani), kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya wizara.Kulia ni Katibu Mkuu wa wizara hiyo Meja Jenerali Jacob Kingu.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma.
 Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Meja Jenerali Jacob Kingu,akifafanua jambo mbele ya Wajumbe  wa Tume ya Utumishi ya Polisi, Uhamiaji na Magereza (hawapo pichani), wakati  wa  kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya wizara. Kulia  ni Waziri wa wizara hiyo Kangi Lugola. Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola (kulia),Katibu Mkuu wa Wizara hiyo,Meja Jenerali Jacob Kingu na Kamishna wa Polisi Benedict  Wakulyamba, wakipitia vitabu wakati wa kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya wizara.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma.
 Kamishna wa Magereza, Faustine Kasike  akizungumza wakati wa Kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya wizara.Kulia ni Kamishna wa Uhamiaji Dk. Anna Makakala.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma.
 Kamishna wa Uhamiaji ,Dk. Anna Makakala akizungumza wakati wa kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya wizara.Kushoto  ni Kamishna wa Magereza  Faustine Kasike.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma.
Kamishna wa Polisi, Benedict Wakulyamba akizungumza wakati wa kikao cha kujadili utendaji wa vyombo vilivyopo chini ya wizara.Kikao hicho kimefanyika Ukumbi wa wizara jijini Dodoma.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad